Jifunze kutengeneza chakula cha sungura
mwenyewe
No
|
Aina ya chakula
|
Kiasi -kgs
|
1
|
Pumba za mahindi
|
40
|
2
|
Mashudu ya alizeti
|
30
|
3
|
Pumba za mpunga
|
15
|
4
|
Soya
|
5
|
5
|
Chumvi
|
0.5
|
Unaweza kupata mwongozo wa awali hata kwa mtu aliyekuuzia
sungura ili uweze kujua namna anavyowalisha,
Pia unaweza kuwalisha vyakula wanvyovipenda
Mfano Njugu mawe kwani huzipenda sana
Sungura mmoja mkubwa huweza kula kiasi cha gramu 100 hadi
130 kwa siku,
Hii ni kwa chakula chake maalum cha sungura pamoja na
chakula cha ziada kama vile majani mabichi,makavu n.k
Ulishaji mbogamboga walishe taratibu mpaka wazoee
ukilisha mfululizo kabla hawajazoea sungura huweza kuhara kutokana na kuvimbiwa
..............................................................................................................
..............................................................................................................
0 comments:
Post a Comment