NINI MUHIMU SANA KUJUA KABLA YA KUANZA
KUFUGA KUKU
NINI MUHIMU SANA KUJUA KABLA YA KUANZA
KUFUGA KUKU
Unapotaka
kujikita katika suala la ufugaji wa kuku ipo haja kubwa ya kuweza kufikiria ni
kwanama gani utaweza kuwa mfugaji bora wa kuku, Hii ni kwa wote, wafugaji na
wanaotaka kuanza kufuga. Unapotaka kuanza ufugaji unatakiwa uanze na ufugaji
mdogo hata kama una mtaji mkubwa. Kwa kufanya hivi itakusaidia kupata uzoefu
katika nyanja zifuatazo:
1.
Utunzaji.
Kwa kuanza na
kiasi kidogo itakusaidia kujua ni ukubwa gani unafaa kwa kuku wangapi, ukiwa na
kuku wangapi utalisha chakula kiasi gani, pia utapata uzoefu wa chanjo muhimu
zinazohitajika hali ambayo itakurahisishia pindi utapoanza ufugaji mkubwa.
2. Soko
Hapa tunalenga
upatikanaji wa wateja wa bidhaa zako za mifugo, itakusaidia kujua wateja
waliopo wanavutiwa na bidhaa ya aina gani, kwa mfano mayai utajua wanapenda
mayai ya kiini cheupe au cha njano? Kwa kufaham wanchokihitaji utajua ufanye
nini ili ukidhi wanachokihitaji.
3. Changamoto
Ukianza na
ufugaji mdogo pia itakusaidia kujua changamoto zilizopo kwenye ufugaji na
utajifunza ni jinsi gani ya kuzitatua au kukabiliananazo kabla ya kuanza
ufugaji mkubwa.
Hivyo ni muhimu kuweza kuyazingatia hayo ili
uweze kuwa mfugaji mwenye mfagaji mwenye mafanikio

..............................................................................................................................
0 comments:
Post a Comment