script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X
https://www.mshindoveterinarycentre.com/

Aina/breeds tofauti za nguruwe.
1. Duroc
2. Landrace
3. Large white
4. Saddleback
5. Pietrain
Hizo ndio maarufu sana na kuna nyingine zaidi kama kuna aina ya nguruwe inapatikana brazil ambao wanakula majani kwa kuchunga na wengine wengi
Kwa mbegu hizo hapojuu zina sifa mbali mbali na zote zinapatikana hapa Tanzania. 
Japo pure sio wengi sana na lakin wapo na kuna watu wametoa mbegu hizo kutoka SA na kuna mbegu inaitwa cambo wametoa shamba la wangwa lipo zambia na wameshazalisha kwa wengi ambao waliimport hizo lakin kwa duroc sio wengi sana lakin ndio watu wanazalisha sasa na wanauza kwa gharama kubwa kiasi ambapo gharama ya kitoto bei ya chini ni 1M.
..............................................................

0 comments:

 
Top