script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X
MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU : Vijidudu vingi viletavyo magonjwa ni Host specifi yaani husababisha aina moja au mbili ya wanyama kama Theileria parva: ng’ombe tu na cowdria ruminantia: wanyama wote wanaokula majani (ruminants)

Vijidudu vingine huleta athari kwa kundi (makundi) kubwa la wanyama akiwemo binaadamu kama vile Salmonella sp Escherichia coli na Mycobacyterium tuberculosis

Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa (Vijidudu) ya mifugo (wanyama) ambayo pia huwashambulia binaadamu

MAGONJWA YA MIFUGO (WANYAMA) HATARISHI KWA AFYA YA BINAADAMU
MINYOO KWENYE NG’OMBE
KIFUA KIKUU
KIFUA KIKUU
KIMETA
KIMETA
 UGONJWACHANZOHUENEZWA NAUGONJWA KWA BINADAMUJINSI YA KUEPUKA
1Kimeta (Anthrax)Wanyama wenye

vijidudu

Nyama ya mzoga/ wagonjwa– Homa

– Kuharisha

– Vifo

Kutokula mizoga na wanyama wagonjwa
2Beef measlep (Tapeworms,

tegu)

Wanyama wenye

vijidudu

Nyama– Tegu (Tapeworms)– Nyama ikaguliwe

– Nyama ichemshwe na iokwe vizuri

3Rabies (Kichaa cha umbwa)Wanyama wenye

vijidudu

Kuumwa na mbwa wenye kichaa– Hydrophobia

– Paralysis

Chanjo kwa mbwa
4Echinococcus

-Tegu mbwa (tapeworms)

Wanyama wenye

vijidudu

Mayai kupitia mikononi, chakula– Hydrated disease

– Kuvimba ini, macho

– Kuharibika ubongo

– Mbwa wapewe dawa za minyoo

– Kuondoa kinyesi cha mbwa mara moja

5Salmonellosis Vijidudu kwenye nyama, mayai na maji vijidudu

Kwenye nyama, mayai na

maji

– Typhoid– Kujiepusha kula mayai kutoka pathogen free flocks

– Usafi wa mayai

– Meat inspection

6Colibacillosis Vijidudu kwenye maji, vinyesi vya wanyama– Kuharisha– Kuchemsha maji, maziwa
7Mastitis (Kuvimba chuchu) Kunywa maziwa– Scarlet fever (Soar throat)

– Mafundofundo shingoni

– Kuchemsha maziwa
8Brucellosis (kutupa mimba) Kunywa maziwa– Homa ya vipindi

– undulated fever

– Malta disease

– Kuchemsha maziwa
9Homa ya kasuku (Parrot

fever) Avian chemydian

 Kuvuta hewa– Pneumonia

– Kuharibu mimba (wanawake)

– Kuvaa nose musk wakati wa huduma
..............................................................

0 comments:

 
Top