2.Bacteria 

Vimelea wengine kama bacteria wanaosababisha magonjwa kama fowl typhoid , fowl chorela , infection coryza 

3.Uchafu wa mazingira

Usababisha visumbufu kama vile chawa , viroboto , minyoo , papasi , 

4.Lishe duni

Ajali ya lishe duni upelekea upungufu wa kinga na mahitaji ya mwili 

Uweza kusababisha matatizo Kama vile matege , kuvunjika mifupa