script>" " ".

Get our Android App in Playstore DOWNLOAD HERE!

X
 Gharama za Ufugaji 

Kwa kipindi cha siku kati ya 28-32... 

Vifaranga 100 @ 120000 

Chakula starter 1@ 68000 

Grower 2 @67000 

Finisher 1@66000 

 Chanjo 
Newcastle 6000 
Gumboro 6000 
Newcastle 6000 
Neoxychick 5000 
Maranda mifuko miwili 4000 
Vyanzo vya joto 20000 

Hizo ni garama za lazima kwa ufugaji wa broilers 

Na hizi gharama ni kwa mikoa kama MORO...IRINGA...DSM...na zinaweza kushuka kwa kutegemeana na gharama za vifaranga na chakula mahali ulipo 

NB Kama utaruhusu magonjwa yawe mengi bandani garama za madawa zitaongezeka 

Amplorium 1000 
Tylodox 12000 

Nawasilisha.....kwenu mtupe nanyie kwa maeneo yenu 

Hapa sijaweka gharama za kuajili mtu wa kulisha naamini huwezi ajiri mtu kwakuku 100 

 Chakuzingatia hapa utunze mazingira ya kuku wako ili wasiugue....upunguze gharama za madawa 

0 comments:

 
Top